Jumanne, 4 Februari 2014

Kigwendu kugombea Ubunge Mwaka 2015.

Msanii wa filamu za kuchekesha nchini,Rashid Mwinshehe aka Kigwendu amefunguka na kusema kuwa yupo katika mipango ya kuwania nafasi ya ubunge wakati wa Uchaguzi Mkuu wa nchi utakaofanyika 2015.
Huu ndio ujumbe wake.
...See more

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni