Jumanne, 7 Januari 2014

DIAMONDI AFANYA KOLABO NA MSANII WA KIZAZI KIPYA P CAT

Mwanamziki maarufu nchini tanzani Nasibu Abdul maarufu kama Diamond anatarajia kufanya kolabo na mwanamzi ki wa kizazi kimpya kutoka  mbeya anaitwa peter mihigo kwa jina maarufu PCAT ,kutaka na maelezo ya msanii huyo amesema kuwa diamondi amekyubali kufanya kolabo katika wimbo wake unao enda kwa jila la swing  pia kwa upande wapili daimond amekili kuawa atafanya wimbo na msanii huyu  ameongeza kua kwa sasa anataka kuinua vipaji wa wasanii wanao chipukia ili waje kua kama yeye ,kwa maelezo zaidi amesa msanii pcat ndie ataemfata dar iliweze kutengeneza wimbo huo

kwa mujibu wa pcat nyimbo utatengenezwa kwenye studio za BURN RECORD na producer atakua SHEDY CLEVER utakumbuka kua shedy clerver ndio ametoa nyimbo ya namber one ya diamond ,nae anatarajia nyimbohiyo kua kali kinomanoma ,nyimbo itatoka kama wikimbili zijazo kaaa mkao wa kusikiliza