Tazama Mjengo Mpya(Nyumba) Anayojenga Diamond Platnum na Kusababisha Jana Usiku Mjadala Mkubwa
Kijana anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz
mambo si mabaya kwake baada ya kuonyesha mjengo wake mwingine wa hatari
ambao bado upo katika ujenzi.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram,Diamond jana ame-share picha ya nyumba hiyo na chini akatia neno..Shuka nayo.
Haijajulikana mjengo huu uko maeneo gani wala umegharimu kiasi gani ila
inaendelea kudhihirisha mafanikio anayoendelea kuyapata Diamond.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni