mwana mziki P CAT akiwa katika pozi jijini dar |
Mwana mziki huyu atachia wimbo wake mpya kwa jina la SWING,swing maana yake HOBI,au kitu mtu ancho pendelea kufanya mwanamziki huyo alisema "napenda kuwaambia mashabiki wangu na watu wote,fanya unachopenda, nami napenda mziki" kwa mujibu wa chanzo cha habari kimesema kua mwana mziki huyo ataachia Wimbo yake hiyo jijini Dar katika studio mbalimbali za radio kama vile MAGIC FM,TIMES FM CHOICE FM nanyingine nyingi msanii huyo ameongeza kuwa anawahidi mashabiki wake hatawangusha katika wimbo wenyewe na video yake itakua poa sana,
kwa mujibu wa maneja wake MR Abdul m Abdallah amesema kama kuna mtu anatakumtumia msanii huyo anaruhusiwa kwa kuwa yuko huru kufanya kazi na mtu yeyote na anaweza kumtafuta kwa namba 0752041148/0687279136
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni