Jumapili, 29 Juni 2014
Jumatano, 25 Juni 2014
ANGALIA : PICHA KAZAA MABINTI WAKIWA KATIKA MAHABA YA WAO KWA WAO
Hizi tumezipata facebook wakiwa wamepost kwenye kurasa zao, ina maana hii hali ipo kwa dada zetu, jamani wanaume wameisha au ni nini????????
ZI![]() |
DOWNLOAD: WIMBO MPYA WA AFANDE SELE! AMERUSHA VIJEMBE VINGI! KIMOJA KWA KTMA!

Wimbo unaitwa "miaka kumi ya ufamle" Bofya hapa kusikiliza au/au kudownload wimbo huo http://www.hulkshare.com/hassbaby/afande-selle-miaka-kumi
ANGALIA: Watoto wa Will Smith hulala na nyoka 10 chumbani, wengine hawajafungwa.

Kwa mujibu wa US Weekly, Willow Smith mwenye umri wa miaka 13 hulala na nyoka kumi chumbani kwake na baadhi yao hawajafungwa kabisa!
Lakini sio pekee ambaye ana mapenzi na nyoka hao, kaka yake Jaden pia huwachukulia nyoka wa dada yake kama wapenzi wake kwa kuwa huwa wanaingia chumbani kwake na kulala nae kitandani huku wakijizungusha mwilini kwake!
Willow ameshawazoea nyoka hao kwa kuwa alianza kuishi na nyoka wa kwanza mwaka 2008 wakati akiwa na umri wa miaka 7 tu.
Jada Pinkett aliwahi kuliambia jarida la Rebok mwaka jana kuwa yeye anawapenda sana nyoka na mwanae Willow pia amekuwa anawapenda daima.
“Anaweza kwenda kwenye store ya nyoka akachukua nyoka mmoja na akajizungushia. Sikuwahi kumgusa nyoka hapo kabla, na nilikuwa siwezi kuwashika…..nimekuwa nampenda Willow daima tangu mwanzo. Nilimwambia Willow, ‘umemfanyia mama msaada mkubwa. Umenisaidia kushinda uoga’..”
MILLARD AYO NA WEMA SEPETU!! MHHH!!!!!!!!!
Hakuna asiyejua kwamba Millard Ayo ni
Mtangazaji (Clouds Fm) anayependwa sana siku hizi kwa kukiboresha na kukipamba kipindi chake kinachokwenda kwa jina la "AMPLIFAYA" huku mwenyewe akijiita "MR. COUNT DOWN" ambapo huwa anatoa stori kumi za moto kila siku.
Mtangazaji huyo anawania vipengele tofauti vya Tuzo za Watu na ni matumaini ya wengi jamaa atanyakua Tuzo hizo.
Hivi karibuni Wema Sepetu amempigia debe au kwa maneno mengine amewashawishi mashabiki zake kumpigia kura zaidi Millard Ayo ili aweze kuibuka kidedea katika kura hizo. Bila kisilani chochote Millard Ayo alisoma hewani ujumbe huo katika kipindi chake ikiwa ni moja ya kipengere ndani ya kipindi chake ambacho kinahusisha kuzirusha jumbe mbalimbali alizotumiwa kupitia mitandao yake ya kijamii, na moja ya ujumbe aliousoma na kushukuru sana ni kutoka kwa mrembo huyu wa
Mwimbaji wa kike wa Nigeria ajitoa kwa Boko Haram ili wasichana 200 waachwe huru.

Mwimbaji huyo ambaye anafahamika sana kwa comments za zinazotengeneza mijadala hudai kuwa yeye ni bikira.
Mwisoni mwa wiki hii ameiambia Showtime kuwa anajitoa yeye kwa kundi la Boko Haram kama inawezekana wao kuwaachia wasichana wanaoshikiliwa na kundi hilo.
“Sasa hivi ni saa tanto usiku, je unajua ninachofikiria? Wale wasichana wadogo, wapi walipo na nini kinawatokea muda huu. Sio sawa. Ni wadogo sana. Nawishi ningeweza kujitoa mimi kubadilishana nao. Wana umri kati ya miaka 12 hadi 15. Mimi ni mkubwa na nimeshazoea maisha zaidi yao. Hata kama wanaume 10 hadi kumi na mbili watanichukua kwa usiku mmoja, sijali. Nachojali waachie hao wasichana warudi kwa wazazi wao.”
Jumanne, 24 Juni 2014
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)