Jumatano, 25 Juni 2014

MILLARD AYO NA WEMA SEPETU!! MHHH!!!!!!!!!

collage

Hakuna asiyejua kwamba Millard Ayo ni
Mtangazaji (Clouds Fm) anayependwa sana siku hizi kwa kukiboresha na kukipamba kipindi chake kinachokwenda kwa jina la "AMPLIFAYA" huku mwenyewe akijiita "MR. COUNT DOWN" ambapo huwa anatoa stori kumi za moto kila siku.

Mtangazaji huyo anawania vipengele tofauti vya Tuzo za Watu na ni matumaini ya wengi jamaa atanyakua Tuzo hizo. 

Hivi karibuni Wema Sepetu amempigia debe au kwa maneno mengine amewashawishi mashabiki zake kumpigia kura zaidi Millard Ayo ili aweze kuibuka kidedea katika kura hizo. Bila kisilani chochote Millard Ayo alisoma hewani ujumbe huo katika kipindi chake ikiwa ni moja ya kipengere ndani ya kipindi chake ambacho kinahusisha kuzirusha jumbe mbalimbali alizotumiwa kupitia mitandao yake ya kijamii, na moja ya ujumbe aliousoma na kushukuru sana ni kutoka kwa mrembo huyu wa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni