Msanii huyo amesema kiasi hicho cha pesa kilitumika katika kutengeneza audi na video ya wimbo huo.
Pamoja na kutumia kiasi hicho cha pesa, ilimchukua miezi 6 ya mipango hadi kukamilisha zoezi zima.
“Nilitumia zaidi ya N20m katika wimbo huo na video. Ilinicost kiasi
hicho kumleta Sean Paul na watu wake kutoka Jamaica, sitanii.” Timaya
aliiambia Toolz.
Posted 17 minutes ago by Mbeyasport.blosport.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni