Nikki Mbishi Anafanya Kitu Tofauti Kwenye Huu Wimbo
Rapper anayeaminika kuwa na uwezo mkubwa wa mitindo huru na mistari ya
nguvu kwenye kazi zake za muziki ameweka post ya picha kuhusu his next
big collabo itakayo husisha msanii kutoka Kenya na Mwingine kutoka
Tanzania.
Sauti ya King Wa Rapper Kutoka Kenya Collo Na Msanii/Mtangazaji Vanessa Mdee zitasikika kwenye wimbo huo. Utaitwa Toast Of Life.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni