Jumatatu, 11 Novemba 2013

AY KUFANYA SHOW MAALUM YA ROAD TO CHOMVA 2013

AY
Ambwene Yesaya A.Y yupo kwenye category mbili katika Channel O Music video awards mwaka 2013. Category hizo ni Best Gifted Male video ambapo kumpigia kura tuma sms 1D kwenda +278  3142100415, Best Gifted East Video tuma sms 12D kwenda +278  3142100415 au unaweza kwenda www.channelo.com kumpigia kura.

Jumapili ya tarehe 17 mwezi huu  pale club billcanas ungana na A.Y kwenye show maalum ya road to Chomva 2013 akiwa kwenye stage moja na wasanii kama Fid Q, Ommy Dimpoz,God Zillah,Stereo na wengine wengi kwa kiingilio cha Tsh 10,000 tu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni