
MISS TANZANIA 2013

KUMI BORA

FLOWERS


MAMBO YA PERSONALLY



Mrembo aliyeibuka miss Tanzania 2013 anaitwa happiness watimanywa ndo mrembo aliyewapiga chini warembo wengine waliokua wakigombania taji la miss Tanzania 2013. hongera happy and we wish u well on your miss Tanzania journey
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni