Jumanne, 5 Novemba 2013
POLE BAHATI BUKUKU KWAKUFIWA NA BABA MZAZI
Akiongea Bahati amethibitisha kifo cha baba yake
kilichotokea asubuhi ya leo, pia amewataka Watanzania kumuombea katika
kipindi hiki kigumu kwake. "Baba yangu amefariki leo baada ya kuugua kwa
muda mrefu, nawaomba Watanzania waniombee kwa kipindi hiki kigumu
kwangu," alisema Bahati.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni